Imagine tayari nilikuwa nishasahau Kwamba leo ni siku ya kusherehekea Nivenye nimewa busy nikihustle dooh Na picha yako sitaiweka kwa mitandao Na usidhani kwamba sikuwa nacare Nivenye safcom nina deni ya soo
ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee
Happy birthday eeh. uooh x2
Nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja Ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuu Uwaeleze tulivyosaidiana kama masoldier Na kutoana machozi kama tumela vitunguu
ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari Nikupe wee my dear Nikupeleke uingereza Ukaone umaridadii Wa dunia Imagine nimeshindwa kuafford hata kagari, kakukuwishia Happy birthday jibambee